Mgombea
wa kiti cha umeya katika Halmashauri ya jiji la Mwanza kupitia CCM na
diwani wa kata ya Mkolani Ndg Stanslaus Mabula, ameshinda kiti cha umeya
kwa jumla ya kura 11 dhidi ya mgombea wa CHADEMA diwani wa kata ya
Mahina Ndg Charles Chinchibera aliyepata kura 8.
WATU WATANO WAFIKISHWA MAHAKAMANI MADAI YA KUHARIBU,KUHUJUMU MIUNDOMBINU YA
RELI YA KISASA (SGR)
-
WATUHUMIWA Watano Wakiwemo Raia Wa China Wawili Wanaokabiliwa na Tuhuma
za Kuharibu Miundombinu Ya Reli Ya Kisasa (SGR) Wamepandishwa Kwa Mara
ya p...
9 hours ago
No comments:
Post a Comment