Je! Wewe ni mwanafunzi wa chuo? Unahitaji mshiko wa ziada tofauti na boom ama mpaka utumiwe na mdingi? Then Tangazo hili chini si la kupuuzia:
TANGAZO KWA WAJASIRIA HIPHOP: Cheusidawa inatafuta wanafunzi wa vyuoni ambao wako tayari kufanya part time work ili kujipatia kipato cha ziada.. esp..wauzaji wa merchandises,cds, books and tix... tuandikie email yenye title hii:: MJASIRIA HIPHOP kwenda humu--> cheusidawatv@gmail.com.
UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA WAANZA DAR
-
TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi – INEC imeanza Uboreshaji wa Daftari la
Kudumu la Wapiga Kura Kwa Halmashauri za Mkoa wa Dar Es Salaam kwa muda
wa Sik...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment