Daraja la Kigamboni likiendelea kujengwa katika bahari ya Hindi eneo la Kurasini. Daraja hilo litakapokamilika litakua na njia 6 pamoja na barabara za juu na kuwa moja ya Daraja kubwa na la kipekee Afrika mashariki na kati.
TeknoHama : TCRA Kuendelea Kushirikiana na TBN ili kusaidia kuzalisha
maudhui yenye tija
-
Na Mwandishi Wetu , Dar.
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeahidi kufanyakazi na Mtandao wa
Wana Blogu Tanzania (TBN), pamoja na vyama vingine vya wa...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment