FID Q ATANGAZA AJIRA KWA WANAFUNZI WAJASILIAMALI WALIOKO VYUONI
Je!
Wewe ni mwanafunzi wa chuo? Unahitaji mshiko wa ziada tofauti na boom
ama mpaka utumiwe na mdingi? Then Tangazo hili chini si la kupuuzia:
TANGAZO
KWA WAJASIRIA HIPHOP: Cheusidawa inatafuta wanafunzi wa vyuoni ambao
wako tayari kufanya part time work ili kujipatia kipato cha ziada..
esp..wauzaji wa merchandises,cds, books and tix... tuandikie email yenye
title hii:: MJASIRIA HIPHOP kwenda humu--> cheusidawatv@gmail.com.
No comments:
Post a Comment