Daraja
la Kigamboni likiendelea kujengwa katika bahari ya Hindi eneo la
Kurasini. Daraja hilo litakapokamilika litakua na njia 6 pamoja na
barabara za juu na kuwa moja ya Daraja kubwa na la kipekee Afrika
mashariki na kati.
Mmoja
wa wafanyakazi wa daraja hilo ambaye jina lake halikupatikana mara
moja akiendelea na zoezi la kupiga picha huku akiwa amesimama kwenye
mtando unaopitisha umeme mwingi bila kuchukua
tahadhali wakati waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli alipokua akikagua
maendeleo ya ujenzi wa daraja hilo leo
No comments:
Post a Comment