Huyu ni Anti Ezekiel
Huyu ni Wema Sepetu
BASATA
madudu haya yanayofanywa na Wasanii hawa wa maigizo mnayaona?
Wanawafundisha nini watoto wetu wadogo wanaoshiriki katika matamasha
haya ambao wana nia ya kuwaona wanamuziki wakitumbuiza na wao kuweza
kujifunza kutoka kwao ili nao pia waweze kuwa wasanii wa muziki kawa
wao!endelea kupitia audiface jackson blogspot kwa habari zaidi
Ila
kwa hawa wa sanaa ya maigizo tutegemee nini kama si zaidi ya kuibua
vipaji vya uchangudoa na tabia mbovu isiyokuwa na maadili mazuri hasa
kwa sisi watanzania ambao tunaheshimu utamaduni wetu!!!
Maana sijawahi kuona mastaa Kenya au Uganda wakifanya hivi sijui hawa wetu hawajitambui...
No comments:
Post a Comment