Spika
wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimfariji Mbunge wa Singida Mashariki Mhe.
Tundu Lissu alipofika kuhani msiba wa Marehemu baba yake Mhe. Tundu
Lissu mzee Agustinio Lissu Mughwai Nyumbani kwake tegeta, Dar es Salaam.
Mzee Lissu alifariki Jumapili tarehe 16 Septemba, 2012,endelea kupitia audiface jackson blogspot kwa habari zaidi..katika Hospitali ya Muhimbili, Dar es salaam na anatarajiwa kuzikwa jumamosi Singida.
Mhe. Spika akimsalimia msemaji wa familia Ndg. Boniface Lissu
Spika
wa Bunge akisaini kitabu cha maombolezo katika msiba wa baba yake Mhe.
Tundu Lissu Mzee Agustinio Lissu Mughwai alipofika kuhani msiba huo
Tegeta Dar es salaam
Mhe.
Spika akimfariji mbunge wa Viti maalum Chadema Mhe. Christina Lissu
ambaye pia ni dada yake na Mhe. Tundu Lissu alipowatembelea kuhani msiba
wa baba yao Tegeta, Dar es Salaam
Mbunge wa
Singida Mjini Mhe. Tundu Lissu akiteta jambo na Spika wa Bunge Mhe.
Anne Makinda alipofika kuhani msiba wa baba yake Mhe. Lissu
Mzee Agustinio Lissu Mughwai Tegeta Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment