Marehemu Meja Jenerali Mstaafu, Anatory Ruta Kamazima
---
Jeshi la
Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kuwafahamisha wananchi
kuwa Meja Jenerali Mstaafu, Anatory Ruta Kamazima (pichani), ambaye
amefariki dunia mwanzoni mwa wiki hii, ataagwa rasmi katika Hospitali ya
Lugalo tarehe 29 Septemba, 2012 saa saba mchana (7.00 mchana) Nyumbani
kwa marehemu eneo la Tegeta - Kibaoni baada ya soko la Nyuki Maruku
Cottage.
Imetolewa na
Kurugenzi ya Habari na Uhusiano
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
SLP 9203, Simu: 0764-742161
Email:ulinzimagazine@yahoo.co.uk
No comments:
Post a Comment