Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,
akifungua Semina ya tatu ya kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa
Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali za Mitaa Zanzibar, katika ukumbi
wa Misali Sunset Beach Hotel Wesha Pemba. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Mwakilishi
wa Shirika la UNDP mjini Zanzibar, Njeri Kamau, akiwasilisha salamu za
Shirika hilo katika Semina ya siku tatu ya Uimarishaji uhusiano baina ya
Viongozi wa kisiasa na Kiutendaji katika Serikali za Mitaa, iliyoanza
leo katika ukumbi wa Misali sunset Beach Hotel Wesha Pemba.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mwinyihaji
makame Mwadini akitoa nasahha zake na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,kuifungua
Semina ya siku tatu kuhusu Uimarishaji Uhusiano baina ya Viongozi wa
kisiasa na Kiutendaji katika Serikali za Mitaa,katika ukumbi wa Misali
Sunset Beach Hotel Wesha Pemba leo.
Baadhi ya
Madiwani na Masheha wa Shehia mbali mbali za Pemba,wakiwa katika Semina
ya siku tatu Kuhusu Uimarishaji uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa
na Kiutendaji katika Serikali za Mitaa,iliyoanza leo,chini ya
Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein, katika Ukumbi Misali Sunset Beach Hotel Wesha
Pemba.
No comments:
Post a Comment