Mpiga
Picha wa Global Richard Bukozi kushoto akikimbia sambamba na
watuhumiwa wa wizi wa milioni 140 kutoka kwa mwajili wao ambapo wao
walikuwa wafanyakazi wa ndani na kukutwa na hatia ya
ubadilifu wa fedha hizo katika kezi yao iliyowakabili na kuamliwa
kwenda jela miaka mitatu na kutaifishwa kwa nyumba zao walizojenga
kutokana na wizi huo |
No comments:
Post a Comment