Barnaba Boy akiwa amebananishwa na jimama jukwaaniRachael akiwa katika pozi tataOmmy Dimpoz akijichana kwa shabikiEti wameweka Swagger sasa loh!Mmmh...sujui albino wa mzungu wa Sinyanga ... hata sjamuelewa pozi lakeSijui alikusudia kuwatega mashabiki wa Serengeti Fiesta Shinyanga ... sina habariiiii!!!!Rachel Tenaaaaaa ... akuuuu!!!!Nay wa Mitego.... hapo nyuma ndiyo mitego ya Serengeti FiestaBaba Steve mwanao anakua sijui utamwambia nini na jimama hilo... loh mimi simo jamani!!!Yalaaaa.... sijui nanyie kina nani tena hapo????Mwarab wa ghafla wa Shinyanga ....Aiseee... Mwasiti kama unaburudika kiana kwa kinywa au macho yangu!!!!Mmmh.... chakula ya mtoto kama naiona hivi ???Mtegooooo wa Ney kwa makalio loh!Mmmh... Ommy Dimpoz huyo kakupandishia nguo au macho yangu yanaona vanaona vibaya???Barnaba Shiiiiiiilooooollllleee hatamchukia Rachel kweli samahani lakini!!!Siyo Single button tu hata three button inawakilisha pande hizi bhana!!Kitu cha usingizi bhaaaaassss.....Mande ya baba Steve na naniluu.....Mmmh...Temba bibi yako huyo loh!Kama mnakumbushana enzi zenu vileeee ....Michano kila kona na Serengeti Fiesta 2012 .....Nachanika kama ifuatavyo... Shinyanga mpoooooo?????PQ, sheeeeeemeeejiii wa home anajua kama Mwanza ulikua hivi????Ray, utakatika nyonga hizo mwachie Mandela wa Twanga Pepeta tu!Pipi saa kumi usiku loh!Mmmh.....Akizidisha mdomo saizi yake kunyongwa kama hivi... SERENGETI FIESTA 2012 .... BHAAAAASSS!!!!
Pages
▼
No comments:
Post a Comment