Pages

Monday, October 29, 2012

DIAMOND TTHE PLATNUM; ANGALIA PICHA ZA UTENGENEZAJI WA COVERYA NGOMA MPYA YA DIAMOND THE PLATNUM!



Diamond na Raqey wakichagua picha ya kutumia kwenye cover ya wimbo wake mpya Raqey na Martin Kadinda Raqey na wengine wakiangalia picha zilizopigwa Diamond, Martin na wengine wakitathmini picha zilizopigwa Crew ya I-View Media Diamond akijiandaa kwa photoshoot Martin na Diamond kwenye pozi IMG_0030 IMG_0041 IMG_0070 IMG_0078
IMG_0079
Ngoma hiyo ameipa jina la ‘Nataka Kulewa’ ambayo imefanywa na producer wa AM Records, Manecky.
Kupitia website yake, Diamond ameshare kwa mashabiki wake picha za utengenezaji wa cover ya ngoma hiyo uliosiomiwa na Raqey Mohamed wa I-View Media kampuni ambayo inamsimamia.

Kuhusu mipango ya video aliyoifanyia usaili wa models wiki kadhaa zilizopita Raqey amesema bado wanashughulikia permit na hivi karibuni alikuwa Dubai kwaajili ya kuweka mambo sawa.

Hizi ni baadhi ya picha hizo.

No comments:

Post a Comment