Pages

Monday, October 29, 2012

RAIS KIKWETE AANZA ZIARA YA MKOA WA KILIMANJARO



 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na viongozi mbalimbali na wananchi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro leo Oktoba 28, 2012 tayari kuanza ziara ya siku nne ya Mkoa wa Kilimanjaro akianzia Wilaya ya Same.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika uwanja wa stendi ya Same Kuhutubia mkutano wa hadhara leo Oktoba 28, 2012
Raisi Jakaya Kikwete akihutubia Wananchi na wakazi wa Same

No comments:

Post a Comment