nHili ndilo jukwaa la Serengeti
Fiesta 2012 ambalo mwanamuziki wa Hiphop Rick Ross “The Boss”kutoka
kutoka nchini Marekani ataongoza wasanii mbalimbali wa nyumbani kutoa
burudani katika tamasha hilo litakalofanyika kwenye viwanja wa Leaders
jijini Dar es salaam Oktoba 6 Jumamosi ijayo.
MUFTI MKUU TANZANIA AWASILI DODOMA KUUFUATA MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA
MAPINDUZI
-
Wageni waalikwa wa Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
wamewasili salama jijini Dodoma tayari kushiriki kikao cha ufunguzi
kinachotarajiw...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment