Waziri
wa Fedha Dr. William Mgimwa(kushoto) akitoa ufafanuzi kwa waaandishi wa
habari jana jijini Dar es salaam mara baada ya kukutana na ujumbe wa
Shirika la Fedha Duniani(IMF)uliopo nchini ili kutathmini hali ya ukuaji
wa uchumi ambapo ukuaji wa pato la Taifa kwa 2012 unatarajia kukua kati
ya asilimia 6.5 na asilimia 7.0. Ujumbe huo umesema kuwa uchumi wa
Tanzania unaendelea kuimarika vizuri . Kulia ni Kiongozi wa Ujumbe huo
wa IMF Bw. Paolo Mauro.
WANA CCM YAPO YA KUJIFUNZA KWA ABDULRAHMAN KINANA
-
Na Said Mwishehe
NGOJA nikwambie kitu mtu wangu ingawa najua itakuwa unafahamu kwamba Chama
Cha Mapinduzi(CCM) Januari 18 hadi 19 mwaka huu wa 2025 kina...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment