Pages

Tuesday, October 2, 2012

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad Atia Timu Kwenye Mkutano wa Hadhara wa CUF viwanja vya Levolosi jijini Arusha.



Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na katibu mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiongozana na viongozi wa CUF na Serikali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro mjini Arusha.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad na Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na wanachama na wapenzi wa Chama hicho kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Levolosi jijini Arusha.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad na Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na wanachama na wapenzi wa Chama hicho kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Levolosi jijini Arusha.
Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof. Ibrahim Lipumba akimkabidhi kadi ya Chama hicho aliyekuwa Diwani wa CHADEMA kata ya Ererai mjini Arusha John Bayo, baada ya kuamua kukihama chama hicho.
Aliyekuwa Diwani wa CHADEMA kata ya Ererai mjini Arusha John Bayo (kushoto), akitangaza kujiengua katika chama chake na kujiunga na CUF kwenye mkutano wa hadhara uliodhuriwa na viongozi wa wakuu wa CUF Mkoani Arusha.
Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof. Ibrahim Lipumba akikabidhi kadi za Chama hicho kwa wanachama wapya walioamua kujiunga na chama hicho Mkoani Arusha.
Wafuasi na wapenzi wa CUF Mkoa wa Arusha wakimshangilia Maalim Seif wakati akiwahutubia katika viwanja vya Levolosi jijini Arusha.Picha na Salmin Said-Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar

No comments:

Post a Comment