Pages

Tuesday, October 2, 2012

Waziri Mgimwa akutana na ujumbe wa IMF leo



Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa(kushoto) akitoa ufafanuzi kwa waaandishi wa habari jana jijini Dar es salaam mara baada ya  kukutana na ujumbe wa Shirika la Fedha Duniani(IMF)uliopo nchini ili kutathmini hali ya ukuaji wa uchumi ambapo ukuaji wa pato la Taifa kwa 2012 unatarajia kukua kati ya asilimia 6.5 na asilimia 7.0. Ujumbe huo umesema kuwa uchumi wa Tanzania unaendelea kuimarika vizuri .  Kulia ni Kiongozi wa Ujumbe huo wa IMF  Bw. Paolo Mauro.

No comments:

Post a Comment