Pages

Wednesday, October 3, 2012

MATUKIO KATIKA SEMINA YA VIONGOZI WA SERIKALI YA MAPINDUZI

Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Katibu Mkuu wa Baraza
la Mapinduzi, pia Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abduhamid Yahaya Mzee,wakati
alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Zanzibar Beach
Resort,kuiongoza  Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa
Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar,ikiwa ni
siku ya pili. [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Katibu Mtendaji  Tume ya Mipango Bi Amina Khamis
Shaaban,alipokuwa akitoa mada ya nne ya Mpango wa Miaka mitano wa
Utekelezaji wa Mkuza II,katika  Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya
Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya
Zanzibar,ikiwa ni siku ya pili katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,
                         [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali
Iddi,akichangia Mada katika Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya
Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya
Zanzibar,ikiwa ni siku ya pili katika ukumbi wa Zanzibar Beach
Resort,ikiongozwa na Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani),na Katibu Mkuu
Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahaya Mzee,(kulia). [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Baadhi ya Watendaji wa Idara mbali mbali za Serikali ya
Mapinduzi wakisikiliza Mada zilizotolewa katika Semina ya Kuimarisha
Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya
Mainduzi ya Zanzibar,ikiwa ni siku ya pili katika ukumbi wa Zanzibar
Beach Resort,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani). [Picha
na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali
Iddi,akichangia Mada katika Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya
Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya
Zanzibar,ikiwa ni siku ya pili katika ukumbi wa Zanzibar Beach
Resort,ikiongozwa na Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani),na Katibu Mkuu
Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahaya Mzee,(kulia). [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akiongoza Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya
Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya
Zanzibar,ikiwa ni siku ya pili katika ukumbi wa Zanzibar Beach
Resort,(kushoto) Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahaya Mzee.
                            [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment