Mkurugenzi
Mkuu na Mtafiti Mkuu Kiongozi wa Taasisi ya Taifa cha Utafiti wa
Magonjwa ya Binadamu Dkt. Mwele Ntuli Malecela akizungumza na waandishi
wa habari mapema leo ofisini kwake kufuatia kupewa Tuzo maalum ya
kutambua mchango wa uongozi na kujituma katika mapambano dhidi ya
magonjwa yasiyopewa kipaumbele.
Tuzo hiyo imetolewa nchini MArekani na Chama cha Kimataifa cha Wakuu wa Taasisi za Huduma ya Jamii (IANPH).
No comments:
Post a Comment