skip to main |
skip to sidebar
NEWS UPDATES: TAARIFA YA AWALI YA VURUGU ZA MTOTO KUKOJOLEA KITABU CHA DINI YA KISLAM KUTOKA KWA KAMANDA KOVA KWA NJIA YA SIMU.
Updates: Kamanda Kova Anaongelea ishu kwa Njia ya simu sasa, kutoka
huko Mbagala. Kwa kifupi ni kwamba Vurugu zilianza Juzi ambapo watoto
wawili walio kati ya miaka 14 na 12 walikuwa wanabishana kuhusu Kitabu
kitakatifu cha Waislam kwamba Ukikojolea unageuka kuwa Panya, Sasa Dogo
mmoja akawa haamini, Kitabu kikaletwa hapo na Dogo akakikojolea baada ya
hapo hakuna kilicho badilika, na hakugeuka kuwa panya. Kutokana na hiyo
ishu kuwa kubwa ikabidi ugomvi wao usuluishwe na wazee ambao walijalibu
kuwambia haiwezekani lakini ikashindikana.
Baada ya hapo
watoto hao wakapelekwa Mbagala Kizuiani ambapo sasa nia na lengo
lilikuwa ni kusuluisha, pia ikashindikana, ndio vurugu za chini chini
zikaanza pamoja na vikundi kujengwa, wakawa wanadai ni Kashfa Kukojolea
Kitabu cha Dini ya Kislam. Wengine wakaanza kusema kuwa wanamka huyo Mt
oto ili auawe. sasa vurugu ndio ikawa kubwa
Hata hivyo Kamanda Kova anasema kuwa Vurugu hizo hazikupangwa na amesisitiza kuwa hao watoto wapo Foolishi Age.
SOURCE www.blogszamikoa.blogspot.com
No comments:
Post a Comment