Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, October 12, 2012

TAZAMA PICHA ZA VURUGU ZILIZOTOKEA MBAGALA LEO BAADA YA WAISLAMU WENYE ITIKADI KALI KUVAMIA KITUO CHA POLISI WAKIMTAKA MTUHUMIWA WAO ALIYE KOJOLEA KITABU KITUKUFU CHA KIISLAMU.




PICHA NA 
GERLAD KIMANGA 
MS CORNER


 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Waislam wenye itikadi kali wavamia kituo cha police mbagala KIZUIZ NIwakidai wanamuitaji
mshitakiwa wao haliyekamatwa leo asubui kwa kitendo cha kumnyang'anya binti msaafu na kukojolea leo asubui. kwa kitendo hicho kiliwalazimu police kuwatawanya watu kwa kutumia mabom ya machozi kitendo ambacho kime asili mwenendo wa masomo kama tunavyo ona katika picha wanafunzi wakilia. 
PICHA NA 
GERLAD KIMANGA 
MS CORNER

1 comment:

  1. mkuu its too easy kuandika hivi ''.....baada ya waislamu kuvamia......'' badala ya ''.....baada ya waislamu 'wenye siasa kali'......'' jua blog zako hawasomi wakristo watupu wanasoma watu wote, don't ever try to rely on any side when there are two opposing sides involved.

    ReplyDelete