Pages

Tuesday, October 30, 2012

NSA JOB KWENDA INDIA KWA MATIBABU ZAIDI A YA KUVUNJIKA KWA GOTI



Mshambuliaji wa Coastal Union ya Tanga, Nsa Job akiwa amefungwa bandeji gumu (POP) baada ya kuvunjika goti wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya JKT Ruvu uliofanyika juzi kwenye Uwanja wa Chamazi Complex jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo Coastal Union ilishinda 3-0. (Picha na Habari Mseto Blog)

No comments:

Post a Comment