Pages

Thursday, November 1, 2012

RAISI KIKWETE AMZIKA MAMA LUCY SAMILLAH JIJINI ARUSHA JANA




Jeneza lenye mwili wa Marehemu Lucy Adam Samilah likiwasili katika makaburi ya Njiro kwa mazishi

 Baba Mchungaji akiongoza maombi ya mazishi
Jeneza likiteremshwa kaburini
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitia saini kitabu vha maombolezo 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole kwa watoto wa marehemu
Waombolezaji  
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka mchanga kaburini 
 Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akiweka mchanga kaburini
  Mkuu wa Mkoa wa Arusha akiweka mchanga kaburini
 Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro akiweka mchanga kaburini
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha akiweka mchanga kaburini.

No comments:

Post a Comment