Pages

Thursday, November 1, 2012

YANGA WAENDELEZA WIMBI LA USHINDI,SIMBA WAVUTWA SHATI MORO SHUHUDIA MATUKIO KATIKA PICHA.


Beki wa Mgambo, Bakari Mtama akimkwatua winga wa Yanga, Simon Msuva katika mchezo wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda mabao 3-0.

Mtama akimpitia Msuva

Msuva akimtoka Mtama

Msuva anasafiri

Msuva huyooo

Didier Kavumbangu akijaribu kumvisha kanzu Mtama

Mtama akimpitia Hamisi Kiiza

Mtama na Kiiza

Nahodha wa Yanga, Nsajigwa Shadrack akiondoka na mpira 

Kiungo wa Yanga, Athumani Iddi 'Chuji' akiondoka na mpira mbele ya Fully Maganga wa Mgambo, huku Mbuyu Twite akiwa tayari kutoa msaada

Msuva kushoto akimpongeza Kavumbangu kwa bao lake

Salum Kipanga wa Mgambo akiwa amemkaba Msuva asiende kwenye mpira

Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akiondoka na mpira mbele ya viungo wa Mgambo, Mussa ngunda kulia na Ramadhani Malima kushoto

Kavumbangu akikimbilia mpira dhidi ya beki wa Mgambo, Salum Kipanga

Kavumbangu na Kipanga

Msuva anamgeuza Kipanga

Kipanga anamzuia Msuva 

Mbuyu Twite kushoto akimpongeza Cannavaro kufunga bao la kwanza

Yanga wakipongezana kwa ushindi

Msuva akimpongeza Cannavaro

Cannavaro aliyeenda hewani akifunga bao la kwanza

Mbuyu Twite aliyeenda juu (nyuma) kuokoa kwa kichwa

Kocha mkuu wa Mgambo, Mohamed Kampira kulia akiwa na Msaidizi wake, Joseph Lazaro kushoto

Walioanzia benchi; Kutoka kulia Kevin Yonda, Nizar Khalfan, David Luhende na Jerry Tegete aliyefunga bao la tatu leo 

Kocha Mholanzi wa Yanga, Ernie Brandts kulia akiwa na Wasaidizi wake, Freddy Felix Minziro, Mfaume Athumani na Daktari Juma Sufiani

Kikosi cha Yanga leo

Kikosi cha Mgambo leo

Kavumbangu anapasua ngome ya Mgambo

Kiiza anagombea mpira na Mtama

Kiiza anatia krosi mbele ya Mtama

Frank Domayo kushoto akitafuta mbinu za kumtoka Salum Mlima

Msuva anatia krosi mbele ya Mtama

No comments:

Post a Comment