Masaa kadhaa yaliyopita msanii wa
kimataifa wa Marekani Rick Ross ameandika kwenye ukurasa wake wa Twiter
kwamba yupo njiani kuja nchini Tanzania ambapo atatumbuiza kwenye
tamasha bora na kubwa kabisa hapa East Africa - Tamasha la Serengeti
Fiesta Dar es Salaam, siku ya jumamosi.
No comments:
Post a Comment