Pages

Tuesday, October 2, 2012

SHIRIKIANA NA LIONS CLUB KUSAIDIA WATOTO WENYE MATATIZO YA MOYO



Taasisi ya Lions Club ya jijini Dar es Salaam inaendesha zoezi la kukusanya michango ya fedha kwa ajili ya kuwasaidia watoto wasio na uwezo wenye matatizo ya moyo kupata matibabu. Unaweza kutoa mchango wako hata kwa njia ya hundi kuiongezea nguvu Lions Club. Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na Rais wa Lions Club Nimira Gangji kwa nambari +255715979966.

No comments:

Post a Comment