WAREMBO
wanaoshirikishindano la Redds Miss Tanzania 2012 leo walitembelea
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro na kujionea vitu mbalimbali katika
bonde hilo ambalo lina mambo mengi ya ajabu miongoni mwa hifadhi.
Mbali na
kujionea wanyama wa aina mbalimbali na ndege pia warembo hao walipata
fursa ya kujifunza juu ya Bonde hilo ambalo lipo katika mchakato wa
kuingia katika Maajabu ya dunia.
Zifuatazo ni picha mbalimbali za warembo hao wakiwa katika Bonde hilo la hifadhi ya Ngorongoro.
No comments:
Post a Comment