AL SHABAAB NOMA CHEKI HALI ILIVYO HIVI SASA NCHINI KENYA
Kutokana
na matishio ya Al Shabaab huko nchini Kenya, Sasa uaminifu umekufa
kabisa na hali imefikia huku. hakuna kuaminiana siku hizi Ni tafsiri
gani unaweza kuipatia picha hii kwa nafasi ya mtoto ambaye hajui
kinachoendelea na kwa askari ambaye anatimiza wajibu. Dah chezea al
shabaab wewe
No comments:
Post a Comment