Pages

Wednesday, November 7, 2012

ASKARI ANAYETUHUMIWA KUMUUA MWANGOSI AKWAMA KUFIKISHWA MAHAKAMANI



IGP Said Mwema (kushoto) na kulia Polisi wakimshughulikia Mwandishi wa habari Marehemu Daudi Mwangosi ambaye baadae alilipuliwa na bomu la machozi.

mtuhumiwa wa mauaji ya aliyekuwa  mwandishi  wa habari  wa  kituo cha Chanel Ten mkoa wa Iringa na mwenyekiti  wa klabu ya  waandishi  wa habari mkoa  wa Iringa (IPC) marehemu  Daudi Mwangosi leo hajafikishwa mahakamani kwa madai ya  jeshi la  polisi  kukosa mafuta ya  kupeleka mahabusu mahakamani hapo.

Hivyo  kutokana na mahabusu leo  kukwama  kufika mahakamani mtuhumiwa  huyo atafikishwa mahakamani  hapo Vovemba 21 mwaka  huu.

No comments:

Post a Comment