Pages

Monday, November 26, 2012

BREAKING NEWSSSSSS:::::::SHARO MILIONEA AFARIKI DUNIA


HABARI zilizopatikana hivi punde kupitia luninga ya Channel 1O, mwigizaji na mwanamuziki maaraufu Sharo Milionea amefariki dunia.

Kwa mujibu wa taarifa hizo za Channel 10 msanii huyo amefariki kwaa ajaili ya gari Muhueza mkoani Tanga.

No comments:

Post a Comment