Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, November 13, 2012

DAH HEBU CHEKI PICHA ZA GARI LA DIAMON BAADA YAKUPATA AJALI




 Juzi Diamond akiwa na gari lake alipata ajali (ya kawaida) ambayo ilisababisha sehemu ya mbele kuharibika. Kwa mujibu wa meneja wake, Raqey Mohamed wa I-View Media ajali hiyo ilisababishwa na mwendesha pikipiki ambapo hata hivyo amesema hakuna aliyeumia

No comments:

Post a Comment