Pages

Thursday, November 29, 2012

Dkt.Shein Arejea Toka Vietnam


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd Shein akivishwa Shada la Mauwa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa  Abeid Karume Zanzibar akitokea Vyetnam kwa ziara ya siku Nne.
-
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd Shein akijibu maswali mbalimbali alioulizwa na Waandishi wa Habari kuhusiana na Ziara yake ya Vyetnam iliochukua muda wa Siku Nne.hapo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa  Abeid Karume Zanzibar
 
 PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI -MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment