Pages

Friday, November 2, 2012

GARI LATUMBUKIA MTARONI BAHARI BEACH DAR.



 Gari hilo likiwa mtaroni kwa bahati nzuri hakuna aliyeumia
Dereva aliyekuwa akiendesha gari hilowa tatu kulia jina halikupatikana mara moja, 

GARI moja aina ya Toyota Hiace, jana lilikutwa limetumbukia mtaroni baada ya dereva wa gari hilo kushindwa kulihimiri hadi kuacha njia maeneo ya Bahari Beach, jijini Dar. Sababu ya ajali hiyo haikubainika mara moja.

No comments:

Post a Comment