Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, November 18, 2012

IKULU:Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete Arejea Jijini Dar es Salaam na Kulakiwa Kwa Shangwe



  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam Bw Madabida na mkuu wa mkoa huo Mhe Said Mecky Sadik
  Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam Bw Madabida na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mhe Philip Mangula mkuu wa mkoa huo Mhe Said Mecky Sadik
Rais Jakaya Kikwete akipokewa kwa shangwe na wafanyakazi wa Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kurejea akitokea Arusha alikokuwa katika ziara ya siku mbili ya kikazi na kabla ya hapo Dodoma ambako alichaguliwa tena kuongoza CCM kwa miaka mingine mitano.Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment