Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, November 18, 2012

HONGERA KWA AY KWA KUCHUKUA TUZO YA KIPENGELE CHA MOST GIFTED EAST AFRICAN VIDEO OF THE YEAR





Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama A.Y a,k,a Mzee wa Commercial leo huko nchini South African amejichukulia tuzo ya kwanza katika kipengele cha Most Gifted East African video of the Year na hii ndiyo list ambayo alikuwa akichuana nayo katika kuwania tuzo hizo
Most Gifted East African video of the Year

Keko Feat. Madtraxx – Make You Dance
C
amp Mulla – Party Don’t Stop
AY feat Sauti Soul – I Don’t Want To Be Alone
K’Naan Feat. Nas – Nothing To lose
Navio – One & Only

No comments:

Post a Comment