Pages

Sunday, November 11, 2012

JK AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM DODOMA



 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete  na viongozi wa juu baada ya kuwasili katika ukumbi wa Kizota mjini Dodoma  kufungua Mkutano mkuu wa nane wa CCM.

 Mama maria nyerere akiwa ameketi pamoja na wake wa viongozi wa ccm
  Waalikwa kutoka vyama vya siasa hapa nchini
 Baadhi ya wajumbe ukumbini
 wimbo wa Taifa kabla ya kuanza mkutano huo leo

No comments:

Post a Comment