Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete na viongozi wa juu baada ya kuwasili
katika ukumbi wa Kizota mjini Dodoma kufungua Mkutano mkuu wa nane wa
CCM.
Mama maria nyerere akiwa ameketi pamoja na wake wa viongozi wa ccm
Waalikwa kutoka vyama vya siasa hapa nchini
Baadhi ya wajumbe ukumbini
wimbo wa Taifa kabla ya kuanza mkutano huo leo
No comments:
Post a Comment