Pages

Wednesday, November 7, 2012

KOCHA wa TAIFA STARS , KIM PAULSEN ATANGAZA KIKOSI:




 KOCHA wa TAIFA STARS , KIM PAULSEN atangaza wachezaji aliowaita Kwa ajili ya mchezo wa kirafiki na Kenya "Harambe Stars" mjini MWANZA  
Mchezaji ISSA RASHID ISSA ameitwa na KIM kwa mara ya kwanza , ATHUMAN IDD na AMIR KIEMBA warejeshwa TAIFA STARS baada ya kutemwa katika vikosi kadhaa vya nyuma. 

 kikosi hicho ni 

1. JUMA KASEJA-GK 
2. DEOGRATIUS MUNISHI-GK 
3. NASSORO MASOUD SAID-DG 
4. AGGREY MORRIS-DF 


5. KELVIN YONDANI-DF 


6. SHOMARI KAPOMBE-DF/MF 


7. ERASTO NYONI-DF/MF 


8.MAFTAH AMIR MRISHO-DF 


9.ISSA RASHID ISSA-DF 


10.RAMADHANI SINGANO-MF 


11.SALUM ABUBAKAR-SURE BOY-MF 


12.MWINYI KAZIMOTO-MF


13.ATHUMANI IDDI-MF


14.FRANK DOMAYO-MF


15.SHABAN NDITI-MF


16.AMIR KIEMBA-MF


17.MRISHO NGASA-MF/FW


18.JOHN BOCCO-FW


19. SIMON MSUVA-FW


20. MBWANA SAMATA-FW


21. THOMAS ULIMWENGU-FW

22. EDWARD CHRISTOPHER-FW

No comments:

Post a Comment