Mkurugenzi wa Shirika la Ujasusi la Marekani CIA David Petraeus (pichani) amejiuzulu nafasi hiyo.
Katika
taarifa yake kwa maafisa wa CIA, Mkuu huyo wa Iidara ya Upepelezi wa
Marekani amekiri kuwa na mahusiano nje ya ndoa yake, na kukielezea
kitendo chake hicho kama kisichokubalika kwa kiongozi wa upelelezi.
Katika
tamko lake Rais Barack Obama wa Marekani amesema kuwa amakebali
kujiuzulu huko na kusema kuwa Petraeus ni mmoja kati ya maafisa bora
wakuu wa kizazi hiki.
No comments:
Post a Comment