Pages

Friday, November 23, 2012

MWIGIZAJI MLOPELO AFARIKI




Taarifa zilizopatikana jioni ya leo zinaeleza kuwa aliyewahi kuwa muigizaji katika kikundi cha Kaole,(pichani enzi za uhai wake) ,aliyekuwa akitambulika kwa jina la Mlopelo amefarika dunia mapema leo hospitali ya Temeke,jijini Dar,kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa marehemu wameitonya Blog ya Jiachie kuwa Marehemu Mlopelo amefarika mchana wa leo kwenye hospitali ya Temeke mapema mchana wa leo, na kwamba shughuli zote za Msiba zipo nyumbani kwao Temeke Wailess mtaa wa Boko,imeelezwa kuwa mazishi yake yatafanyika mapema kesho saa nne.Wadau Taarifa kamili tuvute subira kidoogo tutakuja juzana hapa hapa jamvini tena.Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali pema peponi-Amen.

No comments:

Post a Comment