Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, November 10, 2012

SIMBA AVUTWA SHARUBU NA TOTO YA MWANZA KWA KIPIGO CHA 1 BILA,AZAM YAYEYUKAAA KWA MGAMBO JKT KWA GOLI 2 KWA 1.


Wachezaji wa Simba SC

MZUNGUKO wa kwanza wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, unakamilishwa wikiendi hii, leo na kesho kwa mechi saba kuchezwa katika viwanja tofauti.
Mabingwa watetezi, Simba leo wameonja joto ya jiwe baada ya kupigwa na Toto Africans ya Mwanza Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam wakati Mgambo JKT wakiifunga mdomo Azam FC Uwanja wa Mkwakwani,

No comments:

Post a Comment