Pages

Thursday, November 29, 2012

STARS NA BURUNDI KATIKA PICHA


Kocha wa Tanzania, Mdenmark, Kim Poulsen akihamaki wakati dakika zikiyoyoma, huku timu yake ikiwa imelala 1-0 katika mchezo wa Kundi B, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge dhidi ya Burundi, Uwanja wa Mandela, Namboole, usiku huu. Burundi ilishinda 1-0.

Mbunge wa Kondoa, Juma Nkamia (kushoto) akiwa na Mjumbe wa TFF, Wallace Karia wakifuatilia mchezo wa Kundi B, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge kati ya Tanzania na Burundi Uwanja wa Mandela, Namboole, usiku huu. Burundi ilishinda 1-0.

Kikosi cha Stars leo

Mshambuliaji wa Tanzania, Simon Msuva akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Burundi katika mchezo wa Kundi B, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge Uwanja wa Mandela, Namboole, usiku huu. Burundi ilishinda 1-0.

Mshambuliaji wa Tanzania, Simon Msuva akijaribu bila mafanikio kumfunga kipa wa Burundi,Arthur Arakaza katika mchezo wa Kundi B, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge Uwanja wa Mandela, Namboole, usiku huu. Burundi ilishinda 1-0.

Mshambuliaji wa Tanzania, Mrisho Ngassa akiwatoka mabeki wa Burundi katika mchezo wa Kundi B, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge Uwanja wa Mandela, Namboole, usiku huu. Burundi ilishinda 1-0.


Mshambuliaji wa Tanzania, Mrisho Ngassa akiwatoka mabeki wa Burundi katika mchezo wa Kundi B, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge Uwanja wa Mandela, Namboole, usiku huu. Burundi ilishinda 1-0.

Kiungo wa Tanzania, Frank Domayo akimdhibiti kiungo wa Burundi katika mchezo wa Kundi B, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge Uwanja wa Mandela, Namboole, usiku huu. Burundi ilishinda 1-0.

Mshambuliaji wa Tanzania, Mrisho Ngassa akimtoka beki wa Burundi katika mchezo wa Kundi B, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge Uwanja wa Mandela, Namboole, usiku huu. Burundi ilishinda 1-0.

Mshambuliaji wa Tanzania, John Bocco akiruka juu lupiga mpira kichwa mbele ya mabeki wa Burundi katika mchezo wa Kundi B, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge Uwanja wa Mandela, Namboole, usiku huu. Burundi ilishinda 1-0.

Mashabiki wa Tanzania wakishangilia bila kukata tamaa

No comments:

Post a Comment