Kocha
wa Tanzania, Mdenmark, Kim Poulsen akihamaki wakati dakika zikiyoyoma,
huku timu yake ikiwa imelala 1-0 katika mchezo wa Kundi B, Kombe la
Mataifa ya Afrika Mashariki
na Kati, CECAFA Tusker Challenge dhidi ya Burundi, Uwanja wa Mandela,
Namboole, usiku huu. Burundi
ilishinda 1-0.
Mbunge
wa Kondoa, Juma Nkamia (kushoto) akiwa na Mjumbe wa TFF, Wallace Karia
wakifuatilia mchezo wa Kundi B, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki
na Kati, CECAFA Tusker Challenge kati ya Tanzania na Burundi Uwanja wa
Mandela, Namboole, usiku huu. Burundi
ilishinda 1-0.
Kikosi cha Stars leo
Mshambuliaji wa Tanzania, Simon Msuva akitafuta mbinu za kumtoka
beki wa Burundi katika mchezo wa Kundi B, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki
na Kati, CECAFA Tusker Challenge Uwanja wa Mandela, Namboole, usiku huu. Burundi
ilishinda 1-0.
Mshambuliaji
wa Tanzania, Simon Msuva akijaribu bila mafanikio kumfunga kipa wa
Burundi,Arthur Arakaza katika mchezo wa Kundi B, Kombe la Mataifa ya
Afrika Mashariki
na Kati, CECAFA Tusker Challenge Uwanja wa Mandela, Namboole, usiku huu.
Burundi
ilishinda 1-0.
Mshambuliaji
wa Tanzania, Mrisho Ngassa akiwatoka mabeki wa Burundi katika mchezo wa
Kundi B, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki

Kiungo wa Tanzania, Frank Domayo akimdhibiti kiungo wa Burundi katika mchezo wa Kundi B, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki
na Kati, CECAFA Tusker Challenge Uwanja wa Mandela, Namboole, usiku huu. Burundi
ilishinda 1-0.
Mshambuliaji wa Tanzania, Mrisho Ngassa akimtoka
beki wa Burundi katika mchezo wa Kundi B, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki
na Kati, CECAFA Tusker Challenge Uwanja wa Mandela, Namboole, usiku huu. Burundi
ilishinda 1-0.
Mshambuliaji
wa Tanzania, John Bocco akiruka juu lupiga mpira kichwa mbele ya mabeki
wa Burundi katika mchezo wa Kundi B, Kombe la Mataifa ya Afrika
Mashariki
na Kati, CECAFA Tusker Challenge Uwanja wa Mandela, Namboole, usiku huu.
Burundi
ilishinda 1-0.
Mashabiki wa Tanzania wakishangilia bila kukata tamaa
NYAKATI NGUMU HUPITA - ALI KAMWE
-
Licha ya kipigo kutoka kwa MC Alger, Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu
ya Yanga, Ali Kamwe, ameonyesha matumaini makubwa na kuhimiza mashabiki na
wan...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi I
-
*1. IMDB*
www.imdb.com
*2. IPP Media*
www.ippmedia.com
*3. Idhaa ya kiswahili DW.DE*
www.dw.de/idhaa-ya-kiswahili/s-11588
*4. Idawa Onlin...
No comments:
Post a Comment