Pages

Sunday, November 4, 2012

SWALA LA UHABA WA MAFUTA NCHINI LAPATIWA JIBU NA EWURA



Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za  Nishati na Maji (EWURA), Titus Kaguo akizungumza katika mkutano na  waandishi wa habari, Dar es Salaam, kuhusu jitihada zilizofanywa na  Serikali kukabiliana na uhaba wa mafuta nchini, ambapo imeamua kupunguza kiwango cha mafuta yanayosafirishwa kwenda nchi jirani na kuongeza  kwenye soko la ndani. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA

No comments:

Post a Comment