Gari
aina ya Mitsubishi Canter likiwa limepinduka mara baada ya kuacha njia
na kusababisha watu wanne kupoteza maisha na wengine nane kujeruhiwa
vibaya hapo jana katika Eneo la kijiji cha Wami Sokoine tarafa ya Dakawa wilaya ya Mvomero barabara ya Morogoro-Dodoma
Gari Aina Ya Mitsubishi canter ikiwa imepinduka katika
Eneo la kijiji cha Wami Sokoine tarafa ya Dakawa wilaya ya Mvomero
barabara ya Morogoro-Dodoma Jana kutokana na Kuacha njia katika ajali
hiyo watu wanne wamepoteza maisha na wengine nane kujeruhiwa
katika ajali hiyo iliyotokea jana majira ya mchana katika eneo la kijiji cha Wami Sokoine tarafa ya Dakawa wilaya ya Mvomero barabara ya Morogoro-Dodoma
katika ajali hiyo iliyotokea jana majira ya mchana katika eneo la kijiji cha Wami Sokoine tarafa ya Dakawa wilaya ya Mvomero barabara ya Morogoro-Dodoma
No comments:
Post a Comment