Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, November 20, 2012

TASWIRA YA AJALI YA CANTER ILIYOTOKEA KATIKA ENEO LA WAMI DAKAWA AMBAPO WANNE WAPOTEZA MAISHA NA WENGINE NANE KUJERUHIWA KATIKA




 Gari aina ya Mitsubishi Canter likiwa limepinduka mara baada ya kuacha njia na kusababisha watu wanne kupoteza maisha na wengine nane kujeruhiwa vibaya hapo jana katika Eneo la kijiji cha Wami Sokoine tarafa ya Dakawa wilaya ya Mvomero barabara ya Morogoro-Dodoma
Gari Aina Ya Mitsubishi canter ikiwa imepinduka katika Eneo la kijiji cha Wami Sokoine tarafa ya Dakawa wilaya ya Mvomero barabara ya Morogoro-Dodoma Jana kutokana na Kuacha njia katika ajali hiyo watu wanne wamepoteza maisha na wengine nane kujeruhiwa
 katika ajali hiyo iliyotokea jana majira ya mchana katika eneo la 
kijiji cha Wami Sokoine tarafa ya Dakawa wilaya ya Mvomero barabara ya Morogoro-Dodoma

No comments:

Post a Comment