Mpira upo nyavuni |
Mfungaji wa bao la Toto akipongezwa na wewnzake |
Kocha wa Simba, Milovan Cirkovick akiangalia saa yake dakika zikiyoyoma timu yake imelala |
Wachezaji wa Toto wakinywa maji |
Hatari kwenye lango la Toto |
Komabil Keita wa Simba akionyesha ubabe na Suleiman Kibuta wa Toto. walitaka kupigana |
Okwi anateleza |
Cheki jamaa alivyomkaba Sunzu |
Kiemba anateleza |
Okwi katika mishe |
Ulinzi mkali |
Jonas Mkude anatoa pasi |
Hoi, kocha Milovan kushoto na wachezaji wake kulia Mkude na Shomary Kapombe |
Hatari kwenye lango la Toto |
Sunzu akishughulika |
Mussa Said Kimbu akichuana na Kiemba anayeelekea kuangukia mpira |
Okwi alipangua safu yote ya ulinzi ya Toto, lakini akashindwa kufunga |
Okwi anawatoka mabeki wa Toto |
Mwinyi Kazimoto anaambaaa |
keita anamiliki mpira kulia |
Emmanuel Swita anaosha |
Refa Judith Gamba akimuinua mchezaji wa Toto |
Sunzu anataka kuingia yeye nyavuni baada ya kipa wa Toto kudaka mpira |
Haruna Chanongo na Mohamed Hussein wa Toto |
Chanongo akidhibitiwa |
Kikosi cha Toto leo |
Kikosi cha Simba leo |
Kipa wa Toto, Erick Ngwengwe akidaka mpira mbele ya Okwi na Sunzu |
Ngwengwe akidaka mpira mbele ya Sunzu |
Ngwengwe akidaka mpira mbele ya Okwi.. SOURCE BIN ZUBEIRY |
No comments:
Post a Comment