Pages

Saturday, November 3, 2012

TAZAMA SHOW YA DIAMOND,JCB NA NAKAAYA KWENYE UZINDUZI WA JIJI LA ARUSHA.



Hii Jeep ndio gari niliyokuwa nikiitumia nilipowasili Arusha….
Usalama wa kutosha….
Moja ya wasanii wa Hip Hop kutoka A-town wakifanya yao….
Jcb & Nakaaya walifanya show ya pamoja na ilikuwa kali sanaaaa….
Asili uwa haipotei wala kusahaulika….
                                                              Wasafi…
                                             Mpango mzima ulianzia hapa…..
Burudani haina mipaka… ikikolea mpaka kwa mshabiki huwa najitahidi nifike………
Hatuishii juu ya stage…… popote kwetu ni burudani….

No comments:

Post a Comment