UMATI mkubwa wa mashabiki usiku wa kuamkia leo ulifurika Club Bilicanas jijini Dar es Salaam ambako kulifanyika ‘Birthday Party’ ya kituo cha redio cha Clouds cha jijini Dar es Salaam kutimiza miaka 13. Katika hafla hiyo wasanii mbalimbali walitumbuiza.
TUGHE TANGA WATOA MISAADA HOSPITALI YA AFYA YA AKILI LUTINDI KOROGWE
-
*Na Oscar Assenga,KOROGWE.*
*Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya (Tughe) Mkoa wa Tanga wametumia
maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani kwa kutoa ...
19 minutes ago
No comments:
Post a Comment