Kikozi cha Azam Fc
...........
Azam FC inatarajia kuelekea Kinshasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya
Kongo tarehe 13 hadi 23 December kushiriki mashindano ya Ngao
ya Jamii (Charity Cup)
Mashindano hayo ambayo yatashirikisha timu kubwa za kutoka Kongo
Mashindano hayo ambayo yatashirikisha timu kubwa za kutoka Kongo
kama DCMP na AS Vita Club timu kutoka nje ya kongo kama Azam
FC, Tusker FC, Gombe United ya Nigeria na Diable Noirs na Congo
Brazavile yatatumika na Azam FC kama maanadalizi ya Confederations Cup
Azam FC inahitaji maandalizi na mechi nyingi za kirafiki nje
Azam FC inahitaji maandalizi na mechi nyingi za kirafiki nje
ya Tanzania ili kupata uzoefu kabla ya kushiriki Confederations
Cup. Kwa maana hiyo hii ni nafasi muhimu sana kwa Azam FC
No comments:
Post a Comment